Hakuna Silaha (No Weapon) Lyrics by Sarah K
- Advertisement -
- Advertisement -
Hakuna silaha yeyote (No Weapon)
Iliyotumwa kinyume chetu (Forged against us)
Itakayofaulu (Shall prosper) (Repeat)
Silaha yoyote itakayotumwa (Any weapon sent)
Kwa njia moja au nyingine (In one way or another)
Itawanywishwa kwa njia saba (Will be scattered in seven directions)
Haitafaulu (It shall not prosper)(Repeat)
Na walio hai na walio kufa (By the living or the dead)
Chini ya maji na nchi kavu (Under water or dry land)
Haitafaulu (Will not prosper)(Repeat)
Neno la Mungu linasema hakuna, (The word of God says that no)
Uchawi/mapepo/uganga/ushirikina (witchcraft/demons/charms/divination)
Itakayo faulu (That will prosper)
Usiogope, simama na neno la Mungu (Don’t fear, stand in God’s word)
Related
- Advertisement -