NgospelMedia • The No. 1 International Urban Gospel Media Website
NgospelMedia is The Largest Repository of Your Favourite Entertainment Website, World/Nigeria & Naija Gospel Music Downloads, Videos; Lyrics, Artiste Biography, Daily Devotionals. NgospelMedia is mainly a Christian Website, as the Domain Name Speaks; Gospel; Which is also tagged as a Gospel On-line Ministry for Souls...
Browsing

Swahili

Nashukuru – Papa Sam

Nashukuru - Papa Sam | Yesu nashukuru kwa yote Umetenda Hapa nimefika sio kwa nguvu zangu Ni kwa nguvu zako Wewe ni Ebeneza x2 Wengi wamekufa nami ninaishi Wengi ni wagonjwa nami ni mzima Ni nani aliyenipa uzima kama sio Wewe Ni nani…

Maneno – Rebekah Dawn

Maneno - Rebekah Dawn | Wakati mwingine nikiketi kukuimbia mie Huwa nalemewa kupata maneno yanayoshimiri Ni kama mtoto mchanga anapojaribu kueleza ukubwa wa sayari Ni kama kidege kinapojaribu kueleza upana wa mbingu Ni kama changarawe…

Hilo Jina – Lady Bee

Hilo Jina - Lady Bee | Verse 1 Hakuna jina lingine tulilopewa lenye nguvu Hakuna jina lingine tulilopewa lenye mamlaka Hakuna jina lingine tulilopewa lenye uwezoIla (Jina la Yesu) Hakuna hakuna jina lingine lenye nguvu (Jina la Yesu) Chorus…

Salama – Abeddy Ngosso

Salama - Abeddy Ngosso | Salama, salama Ooh ni salama Kwake Yesu ni salama x2 Napiga magoti leo Nikileta mahitaji yangu Kwako Baba nisikie na Unijibu Maana sina mwingine Wa kwenda nimuombe anibarikiIla ni Wewe nakuomba Baba jibu mahitaji…

Ameni – Eunice Njeri

Ameni - Eunice Njeri | Usifiwe Mungu Muumba mbingu na nchi yote Amen (amen) amen Jehovah Adonai Jehovah El-Shadai Amen (amen) amen Uko kila mahali Baba dunia yakutambua Amen (amen) amen Ukisema Yawheh nani apingane nawe Amen (amen) amen.

- Advertisement -

Bisha – Janet Otieno

Bisha - Janet Otieno Cha muhimu kumweka Mungu mbele, aha! Cha muhimu kuweka imani Kwake, enhe! Haombwi mkate akampa mtu mawe, aha! Haombwi mkate akampa mtu maweKwa hivyo nawe mwamini Yawheh Hivyo nawe mwamini Yawheh Kwa maana ukimwita…

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More