Salama – Abeddy Ngosso
Salama – Abeddy Ngosso | Salama, salama Ooh ni salama Kwake Yesu ni salama x2 Napiga magoti leo Nikileta mahitaji yangu Kwako Baba nisikie na Unijibu Maana sina mwingine Wa kwenda nimuombe anibarikiIla ni Wewe nakuomba Baba jibu mahitaji yangu Salama ,salama Ooh ni salama
- Advertisement -
Salama – Abeddy Ngosso
Salama, salama
Ooh ni salama
Kwake Yesu ni salama x2
Napiga magoti leo
Nikileta mahitaji yangu Kwako
Baba nisikie na Unijibu
Maana sina mwingine
Wa kwenda nimuombe anibariki
Ila ni Wewe nakuomba Baba jibu mahitaji yangu
- Advertisement -
Salama ,salama
Ooh ni salama
Kwake Yesu ni salama x2
- David Morris DMO – King’s Praise Lyrics
- Borno Government Promotes 3,000 Teachers
- Vic Mathias – Better Days Lyrics
- James Ishaku Trace – Yabo Lyrics
- James Ishaku Trace – Tsalle Lyrics
Wewe ni Jehovah Shammah
Unaelewa mapito yetu na uzima wetu kila siku
Oh, tumekuja Baba kusema
Usichukue muda mrefu kutubariki na baraka zako
Ndio maana tunasema
Salama ,salama
Ooh ni salama
Kwake Yesu ni salama x2
twitter.com/abeddy_ngosso
www.facebook.com/abeddy.ngosso
Related
- Advertisement -